Pengo Kubwa katika Bajeti ya 2024/2025

Your browser doesn’t support HTML5 audio

Makadirio ya Bajeti ya Mwaka wa Kifedha wa 2024/2025 yalisomwa Bungeni na Waziri wa Fedha Njuguna Ndungu. Katika makadirio hayo ya jumla ya shilingi trilioni 3.99 lipo pengo la shilingi bilioni 600. Pengo hili lazima likutie wasiwasi. Unajua kwa nini?

Share this episode
Kuwajibika kwa Mafao ya Rais Mstaafu: Je, Jopo ni Lazima?
Suala la mafao ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta halistahili jopo, ni suala ambalo sheria za nchi zinat...
Why Health Insurance Matters for Kenyans
In this episode of Health and Wellness, we dive into the importance of health insurance in Kenya. Wh...
.
RECOMMENDED NEWS