Je, handshake ingine ndio suluhu la Kenya?: Kulikoni podcast
General Podcasts
Apr. 04, 2023
Kenya imeshuhudia maandamano katika siku za hivi karibuni, kabla ya Rais William Ruto na kinara wa Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga kukubaliana kutatua mambo yaliyoibuliwa kwa majadilianao. Je, huenda Kenya inaelekea kushuhudia handshake ingine hivi karibuni ama ni maongezi tu? Kupata mengi zaidi, skiza kipindi hiki hadi mwisho. Karibu.
RELATED EPISODES
Why Health Insurance Matters for Kenyans