Mustakabali wa afya Kenya: Kulikoni Podcast
General Podcasts
May. 02, 2023
Katika msururu wa leo wa podikasiti ya Kulikoni, Prof Monda anazungumza na Dr. Job Nyangena-- daktari kutoka Kenya aliye Marekani kufanya utafiti wa afya digitali. Anafanya utafiti huu katika chuo kikuu cha New York, NYU. Pia anagusia mustakabali wa sekta ya afya nchini Kenya. Karibu!
RELATED EPISODES
Why Health Insurance Matters for Kenyans