Uhuru wa vyombo vya habari nchini Kenya: Kulikoni Podcast
Published Jul. 26, 2023
00:00
00:00

Kwenye podikasti ya Kulikoni leo, Prof Monda anazungumza naye mwanahabari nguli Zubeida Kananu, ambaye ni mwenyekiti wa Baraza la Wahariri (Kenya Editors Guild-KEG). Karibuni!