Katika msururu wa leo wa podikasiti ya Kulikoni, Prof Monda anazungumza na Dr. Job Nyangena-- daktari kutoka Kenya aliye Marekani kufanya utafiti wa afya digitali. Anafanya utafiti huu katika chuo kikuu cha New York, NYU. Pia anagusia mustakabali wa sekta ya afya nchini Kenya. Karibu!