Hakiki ya tamasha za Madaraka Festival Marekani: Kulikoni podcast
Published Jun. 14, 2023
00:00
00:00

Katika msururu wa leo Prof David Monda na Simon Okelo wanahakiki tamasha za Madaraka zilizofanyika nchini Marekani majuma mawili yaliyopita. Karibuni!